LANGO LA KUZIMU SALENDA BRIDGE
Udhibiti juu ya utajiri, majini, uhai na kifo
Hii ni uhalisia na sio story na uwe unafanya uchunguzi maana si kila kitu cha kubisha. Ukiwa ujui kitu kuna watu watapewa neema ya kujua ili wakuambie wewe. Lango za kuzimu ni shimo au nyufa isiyoonekana kwa macho ya...