Daraja la Mto Tegeta linalounganisha maeneo ya Salasala na Tegeta Machinjioni limekuwa kikwazo kikubwa kwa Wananchi wa maeneo hayo tangu lisombwe na maji ya mvua mapema Mwaka 2024.
Licha ya umuhimu wake kwa mawasiliano na uchumi wa eneo hilo, hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa kulikarabati...