Mwaka 1994 nilitumia wiki nzima kutoka Dar mpaka Chidya secondary, mwaka uliofuata nikahama shule, mto rufiji ilikuwa balaa, Mkapa aluvyoingia madarakani akajenga daraja.
JPM kwa kinywa chake anadai chupuchupu afe kwenye ajali ya boti kivuko cha busisi, kilichomsaidia machale yalimcheza...