Mkazi wa Kibaha Mkoa wa Pwani, Maxmilian Malima (62) amepandishwa kizimbani akikabiliwa na tuhuma za kumbaka mwanafunzi wa darasa la sita Shule ya Msingi Kilangalanga.
Akisoma maelezo ya awali leo Jumanne Desemba 13, 2022 mwendesha mashtaka wa Serikali, Rose Ishabakaki akisaidiana na Eliza...