Kuna shule moja ipo mwanza ambako mwanangu anasomea, nimeshangazwa na taharifa ya Mwalimu Mkuu wa iyo shule akiwataka Wazazi kuanza kuwaijia watoto wao shule.
Hii imetokana na kubadilika Kwa ratiba za masomo Kwa wanafunzi kwamba wanapaswa kusoma mpaka muda wa saa tatu usiku kuendana na...
Wakuu this is the first time nashuhudia kijana wa kaka yangu anafanya maajabu kama haya.
Kiufupi nimefurahi sana huyu angekuwa st kayumba sijui kama angepata hata A moja
Elimu nzuri ni gharama wakuu.
Kila mwaka inatoka mil 5 Ila matunda ni mazuri.
Ukiachana na hilo anaongea kiingereza Kama...
Matokeo ya kidato cha pili na darasa la nne yaliyotangazwa jana yameonyesha hali ya ufaulu wa wanafunzi nchini, yakitoa taswira ya maendeleo na changamoto zinazokumba sekta ya elimu. Ingawa baadhi ya shule zimeonyesha mafanikio makubwa, nyingine zimebaki nyuma, zikikabiliwa na changamoto...
Habari wakuu,
Wazazi mmefikiwa, matokeo ya upimaji wa mitihani kitaifa kwa darasa la nne na kidato cha pili kwa mwaka 2024 yatatangazwa leo kuanzia majira ya saa 5:00 asubuhi na Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA).
Majukumu ya January yanaanza, mjiandae punde matokeo yakitoka yatawekwa hapa...
Hongera kwa watunzi wa vitabu, hongera kwa wahakiki .
Vitabu vile vya Lugha ya Kiswahili darasa la pili mpaka darasa la nne vinatosha kabisa kufanya kumfanya mtu ajue kuzungumza na kuandika Kiswahili fasaha.
Nyie ambao mnatia aibu hebu nendeni mkatafute hivyo vitabu viwatoe tongotongo.
Ni...
Wizara ya Elimu tunaomba mfute mtihani wa darasa la nne kwasababu unaleta mkang'anyiko kwa watoto watakao maliza la SITA na kuingia moja kwa moja kidato cha Kwanza maana yake watoto watakao maliza la SITA watafaulishwa wote kuingia kidato cha Kwanza kulingana na competence ya mtoto.
Sasa sijui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.