Wakati msimu wa 2023/24 ukielekea ukingoni, inadaiwa kuwa Klabu ya Barcelona ina mpango wa kumuuza mshambuliaji wake, Robert Lewandowski mwishoni mwa msimu huu na nafasi yake kuchukuliwa na straika wa Liverpool, Darwin Nunez.
Uamuzi huo umekuja baada ya Barcelona kushuhudia wapinzani wao wa...