Mkurugenzi Mtendaji wa Telegram, Pavel Durov, ameripotiwa kukubali kutoa anwani za IP na namba za simu za watumiaji app yake kwa serikali mbalimbali duniani ambazo zitaomba data za watumiaji wake.
Durov, bilionea mwenye uraia wa Urusi na Ufaransa, ambaye alikamatwa nchini Ufaransa mwezi...
Mbunge CHADEMA Songwe Viti Maalum, Stella Fiyao akichangia hoja yake katika mjadala wa Muswada wa ulinzi wa taarifa binafsi anabainisha kuwa mswaada huu ni muhimu na utakwenda kutatua changamoto ya mamlaka kuingilia kwenye akaunti za watu mbalimbali.
Akifafanua hoja yake anasema kuwa Muswada...
Waziri wa Habari, Nape Nnauye, leo Jumatatu, amesema muswada wa Sheria ya Ulinzi Binafsi, uko katika hatua za mwisho “hii ni sheria muhimu sababu vinginevyo uwekezaji utakuwa mgumu. Sio kwa sababu kulikuwa na kurekodi rekodi watu, hapana lakini ni kwa sababu ya kutunza faragha.”
Nape ametoa...
Taarifa binafsi ni taarifa yoyote inayokutambulisha, iwe inahusiana na Maisha yako binafsi, Kitaaluma, au ya umma (Mfano: Majina, Namba za Simu, Anwani n.k)
Ni mara ngapi umeshakutana na taarifa za Watu wengine katika Mazingira ambayo hukupaswa kukutana nazo? Kama ni mara nyingi, basi huenda...
Mtandao wa WhatsApp umetakiwa kulipa Euro Milioni 225 kwa kuvunja Sheria ya Ulinzi wa Data Binafsi ya Umoja wa Ulaya (EU) kwa kutowaambia Watumiaji wake jinsi inavyotumia Taarifa zao
Tume ya Ulinzi wa Data ya Ireland imesema imebaini ukiukwaji katika namna ambayo WhatsApp ilielezea jinsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.