data binafsi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Data nafuu kwa mfanyabiashara (airtel sme menu)

    OFFLINE ❌ ❌ 🥶
  2. Telegram sasa itaanza kutoa taarifa za watumiaji wake kwa serikali kwa madai halali

    Mkurugenzi Mtendaji wa Telegram, Pavel Durov, ameripotiwa kukubali kutoa anwani za IP na namba za simu za watumiaji app yake kwa serikali mbalimbali duniani ambazo zitaomba data za watumiaji wake. Durov, bilionea mwenye uraia wa Urusi na Ufaransa, ambaye alikamatwa nchini Ufaransa mwezi...
  3. Stella Fiyao: Sheria ya Ulinzi wa Data Binafsi ni muarobaini wa wananchi kuingiliwa akaunti zao

    Mbunge CHADEMA Songwe Viti Maalum, Stella Fiyao akichangia hoja yake katika mjadala wa Muswada wa ulinzi wa taarifa binafsi anabainisha kuwa mswaada huu ni muhimu na utakwenda kutatua changamoto ya mamlaka kuingilia kwenye akaunti za watu mbalimbali. Akifafanua hoja yake anasema kuwa Muswada...
  4. Waziri Nape: Muswada wa Sheria ya Ulinzi wa Data Binafsi upo katika hatua za mwisho

    Waziri wa Habari, Nape Nnauye, leo Jumatatu, amesema muswada wa Sheria ya Ulinzi Binafsi, uko katika hatua za mwisho “hii ni sheria muhimu sababu vinginevyo uwekezaji utakuwa mgumu. Sio kwa sababu kulikuwa na kurekodi rekodi watu, hapana lakini ni kwa sababu ya kutunza faragha.” Nape ametoa...
  5. J

    Mjadala wa Haki ya Ulinzi wa Data binafsi kupitia Clubhouse ya JamiiForums

    Taarifa binafsi ni taarifa yoyote inayokutambulisha, iwe inahusiana na Maisha yako binafsi, Kitaaluma, au ya umma (Mfano: Majina, Namba za Simu, Anwani n.k) Ni mara ngapi umeshakutana na taarifa za Watu wengine katika Mazingira ambayo hukupaswa kukutana nazo? Kama ni mara nyingi, basi huenda...
  6. Ireland: WhatsApp yapigwa faini ya Euro Milioni 225 kwa kuvunja Sheria ya Ulinzi wa Data Binafsi

    Mtandao wa WhatsApp umetakiwa kulipa Euro Milioni 225 kwa kuvunja Sheria ya Ulinzi wa Data Binafsi ya Umoja wa Ulaya (EU) kwa kutowaambia Watumiaji wake jinsi inavyotumia Taarifa zao Tume ya Ulinzi wa Data ya Ireland imesema imebaini ukiukwaji katika namna ambayo WhatsApp ilielezea jinsi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…