Ruto anasema kimbelembele chao kilimpeleka mambele kuingia deal na Microsoft na G42 ili waanzishe Data Centers Kenya, lakini wakaambiwa kuwa data center moja inahitaji MW 1,000, wakati nchi nzima ina MW 2,300!
Akitiania kuwa, “Inabidi tuzime karibu nusu ya nchi ili tuweze kupata hiyo moja tu!”...