data privacy

Information privacy is the relationship between the collection and dissemination of data, technology, the public expectation of privacy, and the legal and political issues surrounding them. It is also known as data privacy or data protection.
Data privacy is challenging since it attempts to use data while protecting an individual's privacy preferences and personally identifiable information. The fields of computer security, data security, and information security all design and use software, hardware, and human resources to address this issue.

View More On Wikipedia.org
  1. Pascal Mayalla

    Morogoro: Warsha ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi na Jukwaa la Wahariri (TEF) kuhusu Dhana ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Wanabodi Niko hapa Morena Hotel Morogoro kuwaletea live, warsha ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi na Jukwaa la Wahariri (TEF) kuhusu dhana ya ulinzi wa taarifa binafsi. Karibuni. ==== Update ya Matukio - MC wa event hii ni Innocent Prim Mungi, amemkaribisha Mwenyekiti wa Jukwaa la...
  2. Roving Journalist

    Data Privacy Day: JamiiForums kwa kushirikiana na Lawyers Hub kufanya Mjadala kuhusu Sera za Akili Mnemba (AI) Januari 28, 2025

    Ikiwa kesho Januari 28, 2025 ni Siku ya Faragha ya Taarifa Duniani (Data Privacy Day), JamiiForums kwa kushirikiana na Lawyers Hub wameandaa Mjadala wa Sera za Akili Mnemba. Tanzania na Afrika kwa ujumla inashuhudia mapunduzi makubwa ya Teknolojia ikiwemo Teknolojia ya Akili Mnemba ambapo...
  3. Mindyou

    Kama unajiuliza kampuni za betting wanapata wapi namba zako, hizi ndio baadhi ya njia wanazozitumia

    Najua sitakuwa mwenyewe kwenye hili, nina uhakika kwenye simu yako lazima utakuwa umeshawahi kutumiwa message na kampuni za betting, kampuni ambazo hata hujawahi kutumia huduma zao na baadhi ya kampuni unakuta ni mpya. Soma pia: Je, makampuni ya simu yanatuuza kwa makampuni ya betting...
  4. Harvey Specter

    Mahakama yaiamuru Kampuni kulipa Fidia ya Milioni 10 kwa kusambaza picha za mteja bila ridhaa yake

    Mahakama yaiamuru Kampuni ya Safari Automotive Limited kulipa Fidia ya Milioni 10 kwa kusambaza video za mteja wao bila ridhaa yake. Mahakama Kuu (Masijala ndogo ya Dar es Salaam) yaiamuru Kampuni ya Safari Automotive Limited kumlipa Godwin Danda fidia ya Shilingi Milioni Kumi (10,000,000/=) za...
  5. Replica

    CRDB yaamuriwa kumlipa Zawadi Bahenge milioni 300 kwa kutumia picha yake kwenye matangazo bila ridhaa

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeiamuru Benki ya CRDB kumlipa fidia ya Sh300 milioni Zawadi Bahenge kwa kutumia picha yenye sura yake kwenye matangazo ya kibiashara bila ridhaa yake. Pia mahakama imeiamuru benki hiyo kuondoa picha zote za balozi huyo wa Tacaids kwenye mabango yake ya...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums kushiriki mjadala wa “ICT for Promoting Digital Security and Data Privacy”, leo Novemba 8, 2023

    Ikiwa ni Siku ya pili (Nov 8) ya Tamasha la Jinsia kutoka TGNP, JamiiForums inashiriki kwenye Mjadala kuhusu 'Ushirikishwaji wa Wanawake na Wasichana katika Usalama wa Kidijitali na Faragha ya Taarifa' Mjadala huu utaangazia namna ya kuongeza Ushiriki wa Wanawake kwenye Nyenzo za Kidijitali...
  7. Sildenafil Citrate

    Kiasi cha Taarifa binafsi Kinachokusanywa kizingatiwe

    Katika Dunia hii ya Kidigitali, #Haki ya Faragha na Ulinzi wa Taarifa Binafsi sio suala la kujifurahisha bali ni Hitaji muhimu Wakati mwingine tunapohitaji Huduma tunatakiwa kutoa Taarifa zetu Binafsi. Lakini je; Kiasi cha Taarifa zinazokusanywa, Matumizi na Uhifadhi wake upoje? Faragha...
  8. J

    Ulinzi wa Faragha ya Taarifa Binafsi ni Haki ya Msingi ya Binadamu

    Siku ya Ulinzi wa Faragha ya Taarifa Binafsi (Data Privacy Day) inaadhimishwa kila Januari 28 Haki ya Faragha inawezesha Raia kufurahia Haki nyingine kama: - Uhuru wa Mawazo - Uhuru wa Kujieleza - Uhuru wa Kukusanyika Ni Msingi wa Jamii ya Kidemokrasia Katika Nchi nyingi, Faragha...
  9. beth

    Ulinzi wa Data: Sheria zinalenga kuwapa watu binafsi uwezo wa kujua jinsi Taarifa zao zinavyotumiwa

    Faragha ya Data/Taarifa limekuwa suala muhimu siku zote, lakini kadri Taarifa zetu zinavyozidi kuwekwa kidigitali na kutolewa zaidi Mitandaoni, umuhimu wake umezidi kuongezeka Kampuni moja inaweza kuwa na Mamilioni ya taarifa za wateja ambazo inapaswa kuzilinda. Sheria za Kulinda Taarifa...
  10. beth

    Januari 28: Siku ya Ulinzi wa Faragha ya Taarifa Binafsi (Data Privacy Day)

    Januari 28 ni Siku ya Ulinzi wa Faragha ya Taarifa Binafsi, ikiwa ni jitihada za kimataifa kujenga ufahamu kuhusu umuhimu wa kuheshimu Faragha Ulinzi wa Faragha ya Taarifa binafsi ni Haki ya Msingi ya Binadamu kwa mujibu wa Ibara ya 12 ya Tamko la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa la Mwaka...
  11. The Sheriff

    Inasikitisha! Ona taarifa zetu za benki zinavyotumika kufungia vitafunwa

    Ku-share data/taarifa binafsi imekuwa muhimu katika kufanya kazi zetu za kila siku na kushirikiana na watu wengine katika jamii. Mwingiliano wetu na mashirika na taasisi mbalimbali unahusisha ubadilishanaji wa data/taarifa binafsi. Hizi data/taarifa binafsi ni taarifa yoyote inayokuhusu, iwe...
  12. Nyendo

    Tanzania kuanza kutumia 5G. Sheria ya kulinda Taarifa binafsi za Wananchi yaja

    Na Prisca Ulomi, WMTH Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt Faustine Ndugulile amesema kuwa Wizara yake iko mbioni kupeleka Bungeni muswada utakaowezesha kutungwa kwa Sheria ya Kulinda Taarifa Binafsi iili kulinda faragha na taarifa za mwananchi. Dkt. Ndugulile ameyasema hayo...
Back
Top Bottom