Wadau naomba kupata hiki ninachofikiria, nahitaji kuwa na database yenye uwezo wa kuona kila mtu ambaye nimemhifadhi kwenye hiyo database, ionyeshs jina lake, anwani yake na picha yake.
kifupi nahitaji kuona taarifa zake kwa ujumla ninapo click jina lake au kuserch kwa namba itokee kama vile...