daudi mwangosi

Daudi Mwangosi (ca. 1972—September 2, 2012), was a Tanzanian television journalist for private Channel Ten, whom was killed in Nyololo village, Mufindi District, Iringa Region, Tanzania, during a demonstration by supporters of Chadema, the nation's opposition party.

View More On Wikipedia.org
  1. IMAGE RECOVERY

    Hello habari zenu,kuna simu yangu imeharibika haiwaki kabisa nahitaji kuzipata picha na documents zangu, naomba mnijuze njia ipi nitumie nizirudishe maana sikusave kwenye Google Drive.
  2. Kauli ya IGP Sirro inafikirisha kuhusu mauaji ya Mwangosi na uonevu wa polisi

    Wakati huu Sirro anapaswa kua mnyenyekevu na kuongoza vikosi vyake kujitathimini na kujirekwbisha kwa mauaji na uonevu waliofanya dhidi ya 'raia wema'. Ni kweli na ni ukweli mtupu maisha ya polisi hayana thamani yoyote zaidi ya maisha ya raia. Lakini vipigo, uporaji, mauaji na dhukuma ndicho...
  3. Tumesahau alichofanywa Dkt. Ulimboka, Mwangosi na Said Kubenea. Nchi hii ni ya kinafiki sana

    Huwa nawatafakari sana Watanzania wa kizazi hiki wanaoimba kikwete alikuwa anapenda demokrasia. Najiuliza je Dr. Ulimboka au Mwangosi naye anasema hivyo hivyo Marehemu huyu? Najiuliza waliouawa kwenye chaguzi ya Igunga nao wanasema hivyo hivyo au lile bomu lililolipuliwa kule Arusha kwenye...
  4. Simshangai Pasco wa JF tu; hapana, nawashangaa waandishi wote wa habari popote pale mlipo nchini!

    Huyo hapo juu ni aliyekuwa mwandishi wa habari na mwakilishi wa kituo cha televisheni cha Channel Ten, mkoani Iringa, marehemu Daudi Mwangosi. Mwangosi, ambaye alikuwa pia Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Iringa (IPC), aliuawa kwa kupigwa na bomu na kusambaratisha mwili...
  5. Tanzania's Press Freedom ranking falls after journo killings

    By Elisha Magolanga The Citizen Correspondent Press freedom has shrunk considerably in Tanzania, with journalists and media houses finding it more difficult to do their work, according to the 2013 World Press Freedom Index. The country has dropped 36 places and is now ranked at number 70 of...
  6. Taarifa ya Tume ya Haki za Binadamu (THBUB): Mauaji ya Mwangosi

    Wadau, hii ripoti ina akili. Isomeni mlinganishe na ya kisanii ya Nchimbi. Nawasilisha MUHTASARI WA TAARIFA YA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA YA UCHUNGUZI WA TUKIO LILILOPELEKEA KIFO CHA DAUDI MWANGOSI KILICHOTOKEA SEPTEMBA 2, 2012 KIJIJINI NYOLOLO, WILAYA YA MUFINDI, MKOANI IRINGA...
  7. S

    TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

    Mwwenyekiti na Chama cha Waandishi wa habari mkoa wa Iringa na mwandishi wa habari wa Channel 10 amepigwa risasi na polisi kwenye mkutano wa CHADEMA Mufindi. --- Mwandishi wa habari wa Channel Ten mkoa wa Iringa na Mwenyekiti wa chama chama cha waandishi wa habari mkoa wa Iringa Daud Mwangosi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…