Ndugu zangu Watanzania,
Nimefuatilia mijadala mbalimbali ya kisiasa inapokuwa ikifanyika katika maeneo mbalimbali, iwe ni mitaani au kwenye mitandao ya kijamii. Nimekuja kugundua kuwa CHADEMA na wana-CHADEMA wanamuogopa sana Mheshimiwa David Kafulila linapokuja suala la kushindanisha na kujenga...