david musuguri

David Bugozi Musuguri (born 4 January 1920) is a Tanzanian soldier and retired military officer who served as Chief of the Tanzania People's Defence Force from 1980 until 1988.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    TANZIA Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali David Bugozi Musuguri afariki dunia

    Jenerali Musugiri ambaye amewahi kuwa Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania [JWTZ], amefariki dunia leo Oktoba 29, 2024 jijini Mwanza alikokuwa akitibiwa. Mazishi yanatarajiwa kufanyika nyumbani kwake, Butiama mkoani Mara. ===== WASIFU Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Mstaafu, Jenerali...
  2. comte

    Jenerali David Musuguri kafikisha miaka 104, hongera kwake

  3. I

    Leo katika historia: Jenerali Mstaafu David Musuguri alizaliwa Januari 4, 1920. Atimiza miaka 102

    Jenerali mstaafu David Bugozi Waryoba Musuguri alizaliwa Januari 4, ‌1920 katika Kijiji cha Kumuruti, Masabha. Sasa sehemu hiyo inajulikana kama Nyasirori, akiwa mtoto wa tatu katika familia ya mzee Musuguri wa Nzangho. Alipozaliwa aliitwa jina la Waryoba, ikiwa ni ishara kwamba alizaliwa...
  4. Matanga

    Historia ya Vita ya Kagera 1978-1979

    Luteni wa jeshi la Uganda (UPDF) alivyo ziingiza vitani Tanzania na Uganda. #Sehemu #ya - 1 Kuanzia leo nitawaletea makala mfululizo zinazohusu Vita ya Kagera kati ya Tanzania na Uganda iliyodumu kwa miezi sita kati ya mwaka 1978 hadi 1979. Vita hiyo ilianzia mkoa wa Kagera unaopatikana...
  5. U

    Jenerali David Musuguri atimiza umri wa miaka 101 leo

    MKUU wa Majeshi mstaafu nchini Tanzania, Jenerali David Musuguri maarufu ‘Chakaza’ au Mtukula, ametimiza umri wa karne moja (miaka 101) tangu alipozaliwa Januari 4, 1920. CDF (Mstaafu) kuanzia 1980 - 1988. Mmoja wa mashujaa wa vita vya Kagera 1978-1979. Ameweka makazi yake Musoma Mkoani Mara.
  6. Andrew Nyerere

    Makongoro Nyerere akutana na Jenerali David Musuguri

    Baada ya mkutano wa jana na wakazi wa Butiama hapa Mwitongo -eneo hili ni Mwitongo,lakini nyumba nilisema nimeibatiza jina " Sananda". Baada ya ule mkutano mdogo wa jana,leo Makongoro atakutana na Jenerali Musuguri kabla na kwenda Dodoma kuchukua fomu. Ni ajabu hawa watu wanavyopigana...
Back
Top Bottom