Kwanza nawasalimu wote wa jf member na wasio member, poleni na majukumu, MUNGU Ni mwema
Kama kichwa cha habari kinavyo sema hapo juu leo tutaangazi mapiramidi ya giza yalioko kule misri..
Songa nayoo....
Piramidi za Giza ni kati ya majengo yanayojulikana zaidi duniani. Pamoja na mava mengine...