Wadau nina shida na dawa moja lakini nimetafuta kwa hapa Tanzania haipo nataka kuagiza India naomba mwenye connection ya huko anisaidie au kama kuna mtu huwa anaagiza vitu huko anisaidie niwasiliane nae.
Naomba kuwasilisha wakuu.
Kuna kitu kimejificha kwenye hili kati ya Pharmacy Council na wamiliki wa DLDM (Maduka ya Dawa Muhimu), Kwa nini mpaka leo dawa za antibiotics zinauzwa tu kwenye DLDM licha ya katazo?
Wenye Famasi wanahangaika kupata mapato na gharama za uendeshaji ni mkubwa tofauti na DLDM.
Tunaomba mamlaka...
Anonymous
Thread
afya
dawamuhimu
duka dawamuhimu
uuzwaji dawa kiholela