Madagascar imeamua kubadili mtazamo wake juu ya kukabiliana na virusi vya corona na kujumuika na jitihada za kimataifa kupata chanjo ya corona.
"Kuna hatua kadhaa ambazo inabidi kupitia kabla ya kupata chanjo hiyo lakini kujisajili ndio jambo la msingi na hatua muhimu kabla ya kupata chanjo...
Kauli hii ya kishujaa imetolewa na Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika alipokuwa anaongea na vyombo vya habari kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama chake huko Kinondoni Nje ya Jiji la Dar es Salaam , ambapo pamoja na mambo mengine aliyozungumza , suala la Ugonjwa wa Corona lilikuwa na sehemu...
Kulingana na uzoefu tulioupata kutoka mwaka jana hadi Sasa tunaweza kusema dawa ya Corona amabayo haijathibitishwa na wataalam wa afya ila inasaidia ni hii hapa;
1. Corona inatibika kwa kumwamini Mungu. Binadamu siku zote anaogopa mauti kumkuta akiwa hayupo kwenye mahusiano mazuri na Mungu...
Wanabodi: Nimefurahishwa na Tangazo la wataalam wa chuo chetu kikuu cha Dar Es salaam kutangaza dawa mpya ya Corona inayoitwa Fukiza. dawa hiyo kwa mils 10 inauzwa sh 6,000 tu. kuhusu matumizi na ufafanuzi zaidi tazama video clip hapa chini.
DAWA YA CORONA TANZANIA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.