Rejea kichwa habari hapo juu,
Napenda kujua ni dawa ipi nzuri ambayo naweza kutumia maana na site yangu kuna chumba kimoja kinasumbuliwa na mchwa nichatumia ma oil mixture petrol nikachanganya na nikapiga rough floo lakini naona wameanza upya, je ni dawa ipi nzuri naweza kuitumia kumaliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.