Wakuu, leo nilikua nimelala chini ndan chumbani. Kushtuka naona nyoka mdogo karibu na kichwa changu ikabidi nimuue.
Lakin pia kijana ashawai ua nyoka kama wawili mlangoni mwingine upenuni.
Nipeni mbinu za kupambana na hawa viumbe ziwe za asili za jadi au za kisasa!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.