Kunywa maziwa mara tu baada ya kumeza sumu kunafunika tumbo na kuzuia madhara? Maziwa si dawa au dawa ya sumu, wala hailindi tumbo kutokana na kemikali au sumu iliyomezwa.
Ila yanasaidia tu kupunguza sumu. Kivipi? maziwa yana sukari inayoitwa lactose ambayo mwili hauwezi kusaga yenyewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.