Vipele hivi vimekuwa janga kupelekea kutengeneza nundu la miele kwenye vichwa vya watu.
Dawa:
1: Povidone Iodine (topical antiseptic solution)
2: Mupirocin ointment
Unaweza changanya pamoja mkononi na ukapaka kwenye vipele vyako.
Paka mara mbili kwa siku. Hakikkisha pale unaponyoa mnyooaji...