dawa za kuongeza nguvu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mtu Asiyejulikana

    Mimi naelewa madhara ya kutumia dawa za kuongeza nguvu. So inahitajika pia ushauri wa Kisaikolojia kwa Team ya Yanga

    Safari ya Kujirudi na Hali ya Yanga Kuna kipindi nilijikuta nikitegemea sana pombe—whisky, gin, na bia. Ilifika hatua hata uwezo wangu wa kawaida wa kupiga shoo ulishuka sana. Nilikuwa siwezi kufanya chochote bila kunywa konyagi kwanza, na hapo ndipo ningechangamka na kucheza vizuri. Ili kuwa...
  2. C

    Apongezwe Mtu wa Yanga SC aliyetoa siri kwa Watu wa Azam TV kuwa Yanga SC inatumia Dawa za Kuongeza Nguvu katika mechi zake

    Na leo waliogopa kuzitumia kwakuwa Watu wa Yanga SC walitonywa kuwa huenda TFF ikawashtukiza kupitia Watumishi wake kadhaa kufanya Uchunguzi Wachezaji wao. Kitendo cha mwana Yanga SC huyo mwenye Ushawishi mkubwa katika mpira wa Tanzania kuchoka Kutengwa na Mtu aliyemuamini (Rais wa Yanga SC)...
  3. dr namugari

    Matangazo ya kuongeza za dawa za kuongeza nguvu za kiume inatudhalilisha wanaume

    Jana nilimpelekea mtu moto mkaal eti baada ya mapuziko ananimbia kuwa mm natumia madawa ya kuongeza nguvu za kiume," alisema mbna wee wa moto hv au umepaka mkongo nn" 🤣 😂 nikacheka akasema tena "utakuwa unatumia haya madawa ya kuongeza nguvu haiwezekani unikamatie hvyo dk 45 hukojowi tu akasme...
  4. OMOYOGWANE

    Siku hizi wanaouza dawa za nguvu za kiume Facebook na X ni madaktari. Maisha yanaenda kasi sana

    Habari wakuu, Kama unatumia Twitter (X) au facebook basi lazima utakuwa umewahi kukutana na post za madaktari wakiuza dawa za mitishamba na lishe zinazotibu matatizo ya nguvu za kiume au vidonda vya tumbo. Hii taaluma inakoelekea hawa vijana wataanza kutapeli watu. Kilichonishangaza zaidi...
  5. FIKRA NASAHA

    SoC03 Matumizi ya dawa za kuongeza nguvu za kiume

    Vijana wengi wa Kitanzania Wanatumia Dawa za Kuongeza Nguvu za Kiume. Tatizo ni Nini? Hivi karibuni, nilibahatika kusafari na kutembelea jiji la Dar es salaam Tanzania. Jiji la Dar ni jiji lililo sheheni kila aina ya biashara. Na moja ya biashara iliyopata umaarufu sana hivi karibuni ni...
  6. F

    SoC02 Madhara yatokanayo na matumizi holela ya dawa za kuongeza nguvu za kiume

    MADHARA YATOKANAYO NA MATUMIZI HOLELA YA DAWA ZA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME UTANGULIZI Upungufu wa nguvu za kiume ni hali ya sehemu za siri za mwanaume kuwa na uwezo mdogo au kutokuwa na uwezo kabisa wa kuhimili tendo la ndoa kwa muda mrefu. Tatizo hili limekuwa kubwa katika jamii na kwa kufuata...
  7. JanguKamaJangu

    Madhara yatokanayo na kutumia dawa za kuongeza nguvu za kiume

    Upungufu wa nguvu za kiume ni hali ya sehemu za siri za mwanaume kuwa na uwezo mdogo au kutokuwa na uwezo kabisa kuhimili tendo la ndoa kwa muda mrefu. Kutokana na tatizo hilo kuenea katika jamii, kumeibuka matumizi mabaya ya dawa za kuongeza nguvu za kiume pasipo kufuata ushauri wa wataalam wa...
  8. BigTall

    TMDA: Wanaotumia dawa za kuongeza nguvu za kiume watakufa

    Mkurugenzi Mkuu wa TMDA, Dk. Adam Fimbo amesema dawa za kuongeza nguvu za kiume zinaongoza kwa sasa kwa kununuliwa zaidi kwenye maduka makubwa ya dawa nchini. Watumiaji wa dawa hizi watakufa kwa sababu zinapanua mishipa ya damu. Mishipa ya kichwani ikishapanuka, itapasuka na hivyo mtumiaji wa...
  9. Megalodon

    Je, ni "Stamina" au "Size" ya uume ndio humfanya mwanamke afurahie zaidi ngono?

    Guys , ni muhimu sana tukajua mustakabali wa kizazi chetu. Tumeona Vijana wengi sana wakiingia kwenye wimbi la kutumia madawa ya kuongeza size ya uume ikiaminika kwamba ni kitu ambacho mwanamke anapenda na ni ishara ya URIJALI na USHUJA. Katika generation ya sasa, the average penis kwa urefu ni...
Back
Top Bottom