Katika harakati za maisha nikakutana na mdada anatokea nchi fulani sitaitaja. Yule mdada alikuwa anakunywa dawa za kuongeza damu, folic acid, vitamin B supplements na nyingine sikuzitambua. Nikamuuliza" wewe ni mjamzito"? Akajibu hapana. Nikashangaa maana najua hizo dawa hutumiwa na wajawazito...