dawasa kibamba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. St. Paka Mweusi

    DOKEZO DAWASA kuna watu wamejenga juu ya Mabomba yenu huku Kibamba

    Hii ni hatari kwa usalama endapo Bomba hili litapasuka Na ni uhujumu uchumi kama Kuna wizi wa maji. Kuna mtu hapa Kibamba Hospitali, ni mfugaji wa Samaki amefungia Bomba lenu kubwa ndani ya ukuta wake. Na huko ndani kwake Kuna mabwawa ya kufugia Samaki. Makao Makuu ya wilaya ya Ubungo hayapo...
Back
Top Bottom