Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ibara ya 100 inaelekeza upatikanaji wa huduma ya majisafi na salama kufikia asilimia 95 mjini.
Utekelezaji wake ni kwamba Upatikanaji wa maji mijini umefikia asilimia 84 mwaka 2024 baada ya umilishaji wa miradi 298 ya maji.
Pakua Samia App kupitia Play Store...
Malamba Mawili Msikitini hakuna maji bombani kwa miezi miwili, DAWASA ukiwapigia wanajibu wamepokea taarifa wataiwasilisha sehemu husika inaishia hapo, ukipiga tena wanakuuliza taarifa mpya kabisa na wanasema ndio taarifa ya kupokea, ni kama ukimaliza kuongea nao hakuna chochote wanachofanya...