dawasa mgawo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mwanamwana

    KERO DAWASA mnazingua, mimi si wa kuamka usiku kukinga maji ya mvua ya matumizi ya nyumbani

    Sijui hii mamlaka inakwama wapi, ni wiki ya nne sasa Tabata Bonyokwa hatuna maji. Hii imekuwa kero ya miaka na mikaka na bado hatujapewa ufumbuzi. Tulipangwa kuwa kinajengwa kituo cha kusukuma maji, kingekuwa tayari Aprili lakini leo hii tunaelekea Julai hakuna matumaini. Kuna siku mabomba...
  2. Black Butterfly

    DOKEZO DAWASA, Segerea kuna mgao wa maji kimyakimya? Wiki ya pili mitaani hakuna maji!

    Wakuu DAWASA leo naomba kuwafikishia malalamiko yangu kuhusu ubovu wa huduma zenu. Kuna shida ya Maji katika mitaa ya Tabata hasa kuanzia Posta kuelekea Segerea, Takriban Wiki 2 sasa Maji hayatoki na DAWASA hawatoi taarifa yoyote kueleza kama kuna uhaba wa Maji au Matengenezo yanafanyika. Kuna...
Back
Top Bottom