Mtaa wa Tegeta kwa Ndevu stendi barabara ya kuelekea machinjioni kuna bomba la DAWASA limepasuka tangu mwaka jana, bomba hilo linamwaga maji na kuhatarisha afya usalama hewa wa biashara
======
Mrejesho: Dawasa walifika na kutengeneza kwa kuziba mbomba lililopasuka.
Anonymous
Thread
bomba la dawasa kupasuka
dawasategeta
serikali ya mtaa tegetategeta kwa ndevu