dawati la jinsia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Pre GE2025 Uwepo wa Dawati la Jinsia katika Vyama vya Siasa utasaidia kupunguza mazingira ya Rushwa ya Ngono

    Zanzibar: Asha Bakar (40) mtoto wa mwisho kati ya watatu wa familia ya Bakari Juma, Asha ambaye pia ni mama wa Watoto watatu, anayeishi na mume wake kisiwani Unguja, anasimulia safari yake ya uongozi ilivyokatika hafla, baada ya kutakiwa kimapenzi na bossi wake. “Bosi wangu aliniambia baada ya...
  2. J

    Inspekta Aveline Temba: Mnaonyimwa unyumba na wake zenu toeni taarifa

    Katika kuhakikisha ulinzi na elimu vinatolewa kwa wananchi, Jeshi la Polisi kupitia kikosi cha Wanamaji nchini kimeendelea kuyafikia makundi mbalimbali ya watumiaji wa vyombo vya majini ambapo leo kimetoa elimu ya ukatili wa kijinsia na mbinu za namna bora za kujiokoa pindi inapotokea ajali...
  3. copyright

    Niliyezaa naye hataki kunipa mtoto wangu, nifanyaje?

    WanaJF kwema? Miaka tisa iliyopita nikiwa job kwangu alipita mdada mmoja wa makamo ila kanizidi miaka kadhaa, mi nikamuomba namba baada ya kusalimiana na akanipatia tukaanza kuchat na kuwasiliana sana mana ye hakuwa akiishi maeneo ya karibu na mimi. Tuliendelea kuchat kwa muda tuu na alinambia...
  4. Bila bila

    Ushauri Kwa IGP Wambura, tafadhali fumua muundo wa Dawati la Jinsia nchini.

    Nianze Kwa kumuunga mkono Mbunge wa Viti maalum Iringa Jesca Msambàtavangu juu wa utendaji wa wizara ya Jinsia na watoto pamoja na Idara zake jinsi zilivyojikita kutetea upande mmoja WA wanawake na watoto wa Kike pekee. Afande IGP, ugonjwa huu umelikumba Kwa kiwango kikubwa Dawati lako la jinsia...
  5. Idd Ninga

    SoC04 Maboresho ya Dawati la Jinsia ndani ya Idara ya Polisi, litaongeza Usalama kwa Watanzania

    Dawati la Jinsia ni kitengo kinachopambana na Ukatili wa kijinsia na ukatili dhidi ya watoto kilichopo ndani ya Idara ya Polisi Tanzania na kitengo hiki hupatikana katika vituo vingi vya polis hapa nchini. Dawati hili mbali na kushughulika na kesi za Ukatili, lakini pia kimekuwa kikitumika kwa...
  6. Msanii

    Tuisaidie Polisi: Je, Dawati la Jinsia la Polisi linahitaji maboresho? Tujadili na kushauri

    Nimesoma malalamiko ya wananchi wengi kulalamikia utendaji usiokidhi viwango wa Madawati ya Jinsia yaliyopo vituo vya polisi nchini. USULI Ujio wa Dawati la Jinsia ulishereheshwa na kukithiri kwa vitendo ukatili kwenye jamii, na ikaonekana sehemu kubwa ya ukatili umejaa kwenye mahusiano ambapo...
  7. Roving Journalist

    CP Suzan Kaganda awahimiza Dawati la Jinsia kutoa elimu zaidi ili kukomesha vitendo vya ukatili

    Kamishna wa Utawala na Menejimenti ya Rasilimali watu CP Suzan Kaganda amewataka Watendaji wa Dawati la Jinsia na Watoto kote nchini kutoa elimu zaidi ili kumaliza vitendo vya ukatili katika Jamii huku akiwapongeza Watendaji wa dawati hilo kwa kufuatili kesi za ukali kwa karibu na wahusika...
  8. JanguKamaJangu

    Watendaji Dawati la Jinsia ‘kupewa mbinu mpya’ Dodoma

    Watendaji wa Dawati la Jinsia na Watoto kutoka Tanzania Bara na Zanzibar wapo Jijini Dodoma lengo likiwa ni kuwapa mafunzo nambinu za kukabiliana na vitendo vya ukatili vinavyofanywa na baadhi ya watu wenye ulewa mdogo na imani potofu. Msemaji wa Jeshi la Polisi, Kamishna Msaidizi wa Polisi...
  9. Stephano Mgendanyi

    Mdahalo - Dawati la Jinsia lifike mpaka Vijijini

    MDAHALO - DAWATI LA JINSIA LIFIKE MPAKA VIJIJINI Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Singida Mhe. Martha Gwau mnamo tarehe 06 Machi, 2023 katika wiki ya kuadhimisha Siku ya Mwanamke Duniani alishiriki mdahalo wa Wanafunzi wa kike katika shule ya sekondari Mwanamwema. Mhe. Martha Gwau, Mbunge wa Viti...
Back
Top Bottom