MAREHEMU PABLO ( DAZ NUNDAZ)
Marehemu msanii Pablo kwa ambae hamfahamu alichana katika wimbo wa daz baba, nipe tano, ukiitizama utamsikia akijitaja jina lake, kavaa t shirt ya mistari.pole kwa wale woote wanaharakati wa mziki wetu kwasababu tumempoteza mmoja wa wanaharakati. mungu ailaze roho...