dc mtatiro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    DC Mtatiro atoa maelekezo kwa TARURA baada ya kukuta barabara haipitiki

    Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Wakili Julius Mtatiro amelazimika kumpigia simu Meneja wa Wakala wa barabara Vijijini TARURA mbele ya wananchi wakati wa mkutano wa hadhara kupata ufafanuzi juu ya ujenzi wa barabara iliyopo katika kijiji cha Shatimba kata ya Nyamalogo halmashauri ya Shinyanga. Hayo...
  2. Roving Journalist

    Mwanafunzi wa Kidato cha Tano aolewa kwa Tsh. 30,000 DC Mtatiro aingilia kati na kuvunja ndoa

    Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Julius Mtatiro amevunja ndoa ya kinyemela ya kimila iliyokuwa imefungwa baina ya "Muddy Muuza Urembo" wa Tunduru Mjini na Binti aliyechaguliwa kujiunga na elimu ya Kidato cha Tano katika Shule ya Wasichana ya Masasi. DC Mtatiro ameongoza vyombo vya usalama kuwakamata...
  3. JanguKamaJangu

    DC Mtatiro ataka Sheria itungwe kuwakamata Wanaume ambao wenza wao watachelewa kwenda Kliniki

    Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Wakili Julius Mtatiro, ameiagiza Halmashauri ya Wilaya hiyo, kukamilisha haraka utaratibu wa kutunga sheria ndogo itakayohusisha kuwakamata na kuwatoza faini, wanaume ambao wake zao, wenye ujauzito watachelewa kufika kwenye vituo vya Afya kuanza kliniki. Chanzo: ITV
Back
Top Bottom