Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Wakili Julius Mtatiro, ameiagiza Halmashauri ya Wilaya hiyo, kukamilisha haraka utaratibu wa kutunga sheria ndogo itakayohusisha kuwakamata na kuwatoza faini, wanaume ambao wake zao, wenye ujauzito watachelewa kufika kwenye vituo vya Afya kuanza kliniki.
Chanzo: ITV