Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mhe.Peres Magiri leo tarehe 22 Agosti,2025 amefunga Mafunzo ya Jeshi la akiba yaliyoanza rasmi tarehe 9 Aprili,2025 yakiwa na Wanafunzi 16.
Mkufunzi Mkuu wa Mafunzo WOII Makame SA amesema kuwa wanafunzi wamejifunza silaha ndogondogo za kivita kama vile Semi Automatic...