dc petro magoti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chachu Ombara

    LGE2024 DC Petro Magoti: Waliokosa nafasi za kuiwakilisha CCM uchaguzi wa Serikali za Mitaa acheni nongwa na fitina

    Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Petro Magoti ambaye pia ni Kamisaa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) amewasihi wanachama wa CCM waliokosa uteuzi kugombea nafasi za uongozi wa Serikali za Mitaa katika uchaguzi wa Novemba 27, 2024, kuacha 'makandokando' na fitina badala yake waungane pamoja kuwatetea na...
  2. Pfizer

    Kisarawe: Mwamposa, Jaffo, LT.COL Kombo, waungana na DC Petro Magoti Siku ya Wazee Duniani

    SIKU YA WAZEE DUNIANI 1 OCTOBER 2024 Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Petro Magoti jana aliandaa Chakula cha Mchana na wazee zaidi ya 300 ktk Ikulu ndogo ya Kisarawe kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na katika Hafla hiyo Mgeni Rasmi alikuwa Dkt. Suleiman...
  3. N

    Kongole Mkuu wa Wilaya Petro Magoti

    Najivunia sana kijana Petro Magoti aliyeteuliwa siku za karibuni kuwa mkuu wa wilaya ya Kisarawe. Natamani wakuu wote wa wilaya wangeiga namna na jinsi anavyotenda na kuwajibika katika nafasi yake. Kwanza anasimamia usalama wa watu wake, pili anafatilia miradi katika wilaya yake (anaingia field...
  4. chiembe

    DC Magoti wa Kisarawe akumbushwe, Rais hakupeleka nyampara au mtawala Kisarawe, alipeleka kiongozi

    Naona kama Magoti anataka kupandisha mabega juu kuliko ya aliyemteua. Maji ya mto huwa hayapandi juu zaidi kupita chanzo chake, bali huteremka chini. Naona Magoti anajiona ni mnyampara kama wale wa enzi ya ukoloni. Hana uongozi shirikishi na jamii aliyoikuta. Najua na yeye ni mabaki ya yule...
  5. B

    Kisarawe: DC Petro Magoti ameutaka Msikiti unaotoa elimu ya dini kwa watoto 96, kuwarudisha walipowatoa sababu ya Mazingira Mabovu ya malazi

    Watoto kutoka Mtwara, Singida, Nairobi n.k wakutwa katika mazingira yasiyo rafiki ya malazi huku wakikosa elimu dunia msikitini Kiluvya wilaya ya Kisarawe mkoa wa Pwani nchini Tanzania wakipatiwa mafunzo ya kidini. Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Petro Magoti akiwa na Kamati ya Ulinzi wamefanya...
Back
Top Bottom