MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imemkamata kinara wa dawa za kulevya jijini Dodoma, Suleiman Mbaruku Suleiman maarufu Nyanda mwenye umri wa miaka 52 ambaye mamlaka hiyo ilikuwa inamfuatilia kwa karibu kwa muda mrefu.
Nyanda alikuwa na mwenzake Kimwaga Msobi Lazaro...