Baada ya kusikia uteuzi wa Ramadhan Kingai kuwa DCI, Akichukua nafasi ya Wambura , ambaye amepandishwa na kuwa IGP, watu wengi wamehoji UADILIFU wa Mamlaka ya uteuzi.
Wananchi kuhoji uteuzi huu si jambo la kushangaza, hii ni kwa sababu DCI ni Mtumishi wa umma , uteuzi wake unaweza kushangiliwa...