Wakuu amani kwenu.
Wadau wengi wamenitaka niseme kuhusu msimamo wangu juu ya wanawake na uongozi, hasa wakitolea mifano kadhaa ya wanawake walioongoza katika zama za maandiko. Hoja hii nikiri wazi kuwa imeligawa kanisa kwa kiasi kikubwa sana, kwani wako wanaoamini kuwa katika Agano Jipya...