decoder

  1. Azam TV Max Kuna utapeli mwingi watu wanasajili kupitia decoder za watu wengine Free of Charge kuangalia vipindi bure azam Media wanahusika.?

    Habari ndio hiyo. Mjumbe hauwawi azam Media. Kuna malalamiko watu wanasajili azam max kupitia namba za visimbuzi ambavyo si vya kwao. Je taarifa hizi wanazipata wapi kama si kwa Wafanyakazi wenu? Naomba hili suala lichukuliwe siriazi huu ni wizi kama wizi mwingine wa kimtandao. Serikali naomba...
  2. Hii decoder inafanyaje kazi ndugu zanguni ?

    Je hii decoder inatumikaje na dishi lake ni la aina gani? Inaweza tumika kwa madishi ya azam au dstv au antena ya startimes?
  3. T

    Canal+ decoder zinapatikana

    Watu 2 wenye uhitaji, zipo decoder mbili mpya. Wahi ujipatie kwa shs elfu 50 tu. Kufanyiwa installation na kifurushi, ni maongezi. Zipo Dar Es Salaam/Tabata-Mwananchi. Zitakuwepo tu ndani ya siku tatu tu.
  4. MSAADA: Nini suluhisho la tatizo la sauti kwenye decoder ya DSTV?

    Wakuu, salam kwenu Jamani, kuna shida imeipata decoder yangu ya DSTV. Tatizo hili limeanza J4 pale nilipoiwasha asubuhi nikashangaa sisikii sauti licha ya sauti kuwa fullbars kwa pande zote; tv na decoder. Inasikika kwa mbali sana hata ukiwa karibu na tv ni ngumu kusikia vizuri. Nilijaribu...
  5. BAKITA acheni upotoshaji, Decoder ni King’amuzi, Transmitter ni Kisimbuzi

    Nimeshangaa kusikia eti wanaojiita wataalam wa Kiswahili wakisema kwamba Tafsiri ya neno ‘Decoder’ ni ‘Kisimbuzi’, huo ni uongo wa wazi kabisa. ‘King’amuzi’ ni neno lililonyumbuliwa kutoka kwenye neno ‘ng’amua’ , kung’amua maana yake ni ‘Ku-decode’ , na hivyo kitu kinachofanya hiyo kazi ya...
  6. Kisimbuzi cha Azam kinajiamulia mambo kitakavyo, sikielewi kabisa

    Ukiizima kwa Remote baada ya muda unakuta imejiwasha. Sijui shida ni nini. Na ni mpya haijaharibika kitu. Nazima kila napomaliza kuangalia....lakini baada ya sekunde nakuta ipo On. Ukija kwenye remote nayo ina mauza uza sana. Unaweza ongeza sauti yenyewe ikabadili channel. Ukabonyeza Menu...
  7. Decoder ya Azam ni moja ya Decoder za ovyo/cheap quality ambazo nimepata zitumia

    Nimeshabadilisha remote mara 3. Remote bado mpya unabonyeza Menu yenyewe ina change program. Unaongeza sauti sometimes ina change channel. Unarudi Back inakupeleka kwenye menu. Unaweza bonyeza button hata mara tatu isi respond na hapo umeielekeza kabisa karibu na decoder siyo kwamba ipo mbali...
  8. Niuzie Azam decoder used

    Wakuu habarini za majukumu! Ninaomba yeyote anaeuza decoder ya Azam aniuzie whats app 0683965391 Asanteni
  9. INAUZWA Azam tv decoder full set kwa 160,000 tu, Kiwalani Dar

  10. Natafuta king'amuzi cha Startimes cha zamani

    Natafuta king'amuzi cha Startimes cha zamani, kisichotumika ili nipate spare! Hapa Dar, Angalia picha
  11. C

    INAUZWA Decoder ya internet kwa wenye smart Tv

    Nauza decoder ambayo itakusaidia kupata huduma ya internet kwa wenye TV za smart ingawa inaweza kutumika pia kwenye Laptop na desktop, inatumia line za mitandao yote ya simu. Being yake ni 50000 tu.
  12. T

    Kubadilishana decoder DStv kwa Azam

    Nina decoder ya dstv nataka kubadilishana na mwenye Azam. Location: Dar es Salaam
  13. T

    INAUZWA DStv Decoder na dish lake linauzwa

    Nauza decoder na dish la DStv kwa sh 60000 tu. Eneo Kibamba mbezi mwisho Dar es Salaam 0659130177.
  14. Wakuu mwenye uzoefu na decoder ya canal +, nahitaji kununua

    Nahitag kununua decoder aina ya canal + mwenye uzoefu na hii decoder kuanzia kwnye installation mpka kwenye matumizi na ulipaji wa vifurishi tafadhari msaada.
  15. U

    Decoder mbili Tv moja

    Hivi unaweza kuinstall Decoder mbili kwenye TV moja. Naomba maujuzi
  16. INAUZWA Azam Tv decoder Tsh 75,000/=

    Ni Mpya haijawai kutumika Ina kadi yake mpya kabisa Ina wire wa kuunganisha dishi Ina dish lake. Inapatikana Mbezi Luis Wasiliana nami: 0789 830396
  17. S

    SABC 68.5E working by Satstar decoder

    SABC channel package 68.5E ku working well via Satstar Decoder now
  18. INAUZWA Nauza Kisembuzi cha DStv used full set

    Niko Mbeya Imetumika mwezi mmoja tu,ipo katika hali nzuri sana bado ina upya wake,ichukue kwa Tsh. 85,000 tu ,maelewano yapo nicheki kwa 0767142928 Utapata dstv decoder,remote yake,dish lake,waya wa dish kwenda kwenye decoder,hdmi cable,nuts na bolts
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…