Emsley "Baba T" Smith
Picha: Ukurasa wake wa Facebook
Miaka kadhaa iliyopita nilipata fursa ya kuonana na Baba T pale East Africa Radio. Tulishikana mikono. Alikuwa ni pande la mtu, na kiganja changu kilimezwa mkononi mwake. Nilikuwa mtembeaji tu na kijana mdogo niliyependa kusikiliza Reggae na...
Imetokea tu..mmekutana baa
Wewe meza hii na yeye meza ya pembeni...dj akipiga wimbo gan utamshukuru sana..tena ikiwezekana utaimba kwa sauti/au kucheza kwa madoido
Kama wewe ni dj au mdau wa muziki.hapa unaweza kusikiliza na kudownload nyimbo zilizotengenezwa na madj. Yaan mixing au nonstop mix kutoka djs mbalimbali
PIA UNAWEZA TEMBELEA CHANEL YANGU YA YOUTUBE INAITWA DVJ NASMILETZ https://www.youtube.com/@NASMILETZ?sub_confirmation=1 KISHA SUBSCRIBE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.