Habari za wakati huu wadau wa JamiiForums,
Kama ilivyo ada, hapa tunapiga darubini mambo mazito kwa jicho la tatu. Leo tunagusa mada nyeti—Deep State—hali halisi ambayo si wengi wanathubutu kuizungumzia wazi wazi. Lakini kama wahenga walivyosema:
"Aliyeshiba hamjui mwenye njaa, na mwenye njaa...