Jinai na jinai tu bila kujali imefanywa na nani maana hakuna alie juu ya sheria.
Kwa msingi huo,kama tumeamua kuadhibu watumishi hawa zaidi ya 9000 kwa kosa la kutumia vyeti feki,ni kwanini mafisadi wa EPA, RICHMOND ,KAGODA,MEREMETA,KIVUKO KIBOVU,n.k nao wasiwajibishwe japo kwa kutakiwa...