Kampuni ya magari kutoka China BYD wameungana na kampuni ya teknolojia DeepSeek, na kuinstall AI kwenye magari ya BYD.
Hii advanced driver assistance system (ADAS) ambayo wao wameiita God's Eye itakua kwenye magari "karibia yote" ya BYD kuanzia expensive modela hadi cheapest models kama...
Februari 10 hadi 11, Mkutano wa Kilele wa Hatua za Akili Bandia (AI) ulifanyika mjini Paris, Ufaransa, huku program ya akili bandia ya China DeepSeek toleo la bure inayovutia macho ya dunia nzima ikipelekea nchi mbalimbali kutambua tena uwezo wa uvumbuzi wa China na kuitumia China kuendelea...
Mashindano makali yenye vita kubwa kati ya USA na China ya kizidi kupamba moto kwenye teknolojia.
Wiki zilizopita china imetambulisha mfumo wao AI(akili bandia) kwa madai yao kuwa inaweza kutumia vifaa vya bei rahisi kuendesha mfumo wake, lakini cha kuchekesha nilichogundua ni kama china...
Sasa wazee habari zenu kwanza, Heri ya mwaka mpya,
Kwa upande wangu baada ya hii AI ya Deepseek kuvumbuliwa nikajua labda inaweza kuleta school of thought mbadala kabisa kwenye hill swali pendwa kwa kila mwanadamu mwenye akili timamu.
Sasa mbona kama majibu ni yale yale hata kwenye Chat AI...
Habari wa coding.
Kama ttitle inavyojieleza kwa utafiti niliyofanya kwenye upate wa coding, DEEPSEEK niko vizuri zaidi kwa kuandika code ambazo sija experience kwenye CHATGPT, nimekuwa mdau wa AI since 2021 na nimetengeneza project kadhaa kwa kutumia CHATGPT . Coding imekuwa rahisi nowadays kwa...
Marekani iliwafungia China katika kila kona ili kuibana na kuzuia kwa hofu ya kupitwa … kiuchumi, siasa hata Teknolojia lakini hadi sasa marekani haiamini kilicho tokea China Imegeuza meza …!
…….kivipi ?
Pause …. Naitwa Mkisi mtaalamu wa teknolojia na vifaa vya kidigitali. Tupo Kariakoo...
Kwa kujua kua AI ya deepseek ni ya china ! Nimeiuliza swali au historia ambayo china huwa hawaipendi.
Lengo ni kuona jinsi technologia yako inavoweza kukufadhiri au kukufichia aibu muhusika.
Conclusion:
Kweli bana ,Zimwi likujualo halikuli likakumaliza.
Ingekua ni app ya marekani wangepondea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.