Nawasalimu kwa jina la JMT.
Bobi Wine ambae ni Kiongozi wa Upinza huko Uganda amewatahadharisha Wakenya kuwa Makini na genge la Ruto kupitia wabunge wa chama chake Cha UDA wanaotaka Bunge libadili Katiba ya Nchi hiyo na Kuondoa Ukomo wa Urais wa vipindi vya Miaka 5 na kuweka Ukomo wa umri wa...