Hiyo hali inaitwa déjà vu,
Wanasayansi wameielezea kwa theories tofauti wakielezea inasababishwa na nini. Ila bado hamna jibu rasmi linalokubaliwa na wanasayansi:
Theory mojawapo inaeleza kwamba,
Namna ambayo ubongo huhifadhi kumbukumbu, mfano kuna jina unalijua limehifadhiwa kwenye ubongo...