dejan

Dejan (Cyrillic: Дејан) is a Serbian masculine given name, derived from the Slavic verb dejati, meaning "to act, to do". The name and the derived surname Dejanović are common among South Slavs.
The name is first recorded in 1325 (1333) for a voevod of king Stefan Uroš.

View More On Wikipedia.org
  1. Allen Kilewella

    Simba ndiyo wamefanya Dejan Thamani yake iwe milioni 700?

    Nilikuwa naangalia thamani ya wachezaji walio huru kwenye mtandao wa "Transfermarkt" na kukuta kuwa mchezaji wa zamani wa Simba Dejan Georgijevic kwa sasa thamani yake ni Kati ya shilingi za kitanzania milioni 700 hadi bilioni moja na milioni mia nne. Kwanza nilishangaa imekuwaje mchezaji...
  2. GENTAMYCINE

    Karma ndiyo inamtesa Okrah Simba SC na itamtesa mno hadi akamwombe Radhi Mzungu Dejan kwao aliko

    Okrah ndiyo kwa 99% alisababisha Mzungu Wetu Dejan asiwe na Furaha ndani ya Simba SC mpaka Kukereka na kufikia Kuchukua yale Maamuzi aliyoyachukua ya Kuondoka. Okrah huyu huyu ndiyo alikuwa akimtukana Mzungu wa Watu Dejan na Kubwa zaidi akiwashawishi Wachezaji wenzake Waswahili wamtenge...
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    Tetesi: Mzungu wa Simba Dejan Georgijevic kurejea kukipiga

    Mchezaji maarufu Mzungu wa Simba Dejan Georgijevic ametangza rasmi kutua nchini kukipiga. Dejan hajaweka bayana kama ataendelea na Simba au atatua Yanga kuziba pengo la Faizal Fey Toto anayewaniwa na club ya Azam Fc
  4. Execute

    Simba iliachana na Dejan, Yanga wasione aibu kuachana na Aziz Ki

    Simba walipoona wamepigwa walitumia mbinu za kivita kumpa 'frustrations' yule Dejan mpaka yeye mwenyewe akasepa bila kuiingiza timu gharama. Sasa Yanga kwa kule kupigwa 500m za usajili wasikubali kuendelea kupigwa 20m za mshahara. Jamaa anarukaruka tu uwanjani. Anzeni kazi hapo angalau muokoe...
  5. GENTAMYCINE

    Sasa Mo Dewji kama unapenda 'Kupromoti' Ndondi kwanini usingeanza kwa 'Kuwapiganisha' Okra Magic na Dejan Mzungu?

    Ila siyo Siri Mo Dewji kwa sasa wala nisikufiche unazingua na unatuzingua sana tu wana Simba SC hasa kupitia hicho Kifidodido chako CEO Barbara Gonzalez. Hivi Wewe Mo Dewji kama kweli Mzigo wa 20 Billion upo na uliuweka Simba SC ndiyo tushindwe kweli kutoa Tsh Milioni 800 kwa Victor Adebayor...
  6. Vontec

    Edo Kumwembe: Nadhani wakina Barbara wamemuweka Dejan mtegoni yeye ndo avunje mkataba ili wasimlipe

    Anaandika Edo Kumwembe... ✍️ Ninachohisi ni kwamba sio kwamba huyu Mrembo na wenzake wanamtaka Dejan...nadhani wamemuweka katika mtego kwamba yeye ndiye avunje mkataba ili wasimlipe. ndo maana wakatoa ile taarifa. Akili nzuri. Mzungu sasa avunje tu mwenyewe. Na kama ikitokea hivyo itabidi...
  7. T

    Dejan Georgijevic mbioni kutikia nchini Misri kujiunga na klabu ya Al-ittihad iskandary (alexandria)

    Inasadikika kuwa aliyekuwa mshambuliaji raia wa serbia, Dejan Georgijevic yupo mbioni kutimkia nchini misri kujiunga na klabu ya Al-ittihad iskandary (alexandria) kuungana na aliyekuwa kocha wa simba Zoran Maki. Vyanzo vya karibu nchini Misri vimenihabarisha kuwa kocha huyo Zoran Maki...
  8. black angel

    Mkataba wa Dejan Georgijevic, Mzungu wa Simba Wavunjwa

    Nipo natafakari hapa ni hasira, masimango au kuna kitu kingine hadi mchezaji pendwa Dejan kusitisha mkataba wake? ==== Mshambuliaji Dejan Georgijevic ametangaza kuvunjika kwa mkataba na Klabu ya Simba kutokana baadhi ya vipengele kukiukwa. Dejan ameandika kwenye ukurasa wake “Nathibitisha...
  9. T

    Wachezaji wa Simba punguzeni ubinafsi ,acheni kumtengenezea majungu Mzungu Dejan Georgijevic

    Tukio lililotokea majuzi kwa mchezaji Okrah kumfanyia fujo striker mzungu, Dejan Georgindowski, linaonesha kuwa kuna mgawanyiko wa wachezaji katika dressing room na kocha Juma Mgunda hana uwezo wa kuwa manage maastaa hawa wenye majina makubwa. Kuna kundi la wachezaji linahakikisha kuwa huyu...
  10. Vontec

    Siri nzito sakata la Okrah na Dejan ndani ya Simba

    Anaandika Shaffi Dauda Simba kuna vitu havipo sawa, lakini ni zile zile stori za kuvalishana suti kwenye vumbi au kuifunga Bugati injini ya bajaj ila haibadili kuwa kuna mengi hayapo sawa. Tazama vyema hii clip, tazama namna Dejan na Okrah walivyotoshana nguvu, haya tunayaona sisi uwanjani...
  11. PAZIA 3

    Tuisila Kisinda is yellow and green

    Yanga sc imemtambulisha kiungo wake wa zamani, Tuisila Kisinda kuwa amerudi kikosini kabla ya dirisha la usajili kufungwa 31/08/2022. Mashabiki wengi wa Yanga wamefurahishwa na ujio wa Tuisila Kisinda. Jambo ambalo hawalijui ni Nani kampisha Tuisila kwasababu usajili wa wachezaji kutoka nje ya...
  12. Expensive life

    Dejan wa Simba SC afunga goli huku akiwa amefumba macho

    Huyu Dejan ana balaa afunga goli huku akiwa amefumba macho, kama viungo wa simba watamlisha haswa atafanya makubwa sana.
  13. JanguKamaJangu

    Msimamo Ligi Kuu baada ya Mzungu wa Simba, Dejan Georgijevic kuwasha moto (20/08/2022)

    Hivi ndivyo msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya Simba kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Kagera Sugar kwenye Uwanja wa Mkapa, Agosti 20, 2022
  14. May Day

    Nashauri Dejan apangwe kwenye zile mechi zisizo na presha kubwa kwanza

    Au naweza kusema aingie pale ambapo timu imeshapata ushindi mzuri na game ipo mkononi kwao. Nina imani akiweza kuonesha makali yake kwenye mchezo Mashabiki hawa wa Bongo ninaowajua wanabadilika hapo hapo na kona zote za nchi wataimba jina lake kwa mema hata mwenyewe atafurahia kuwepo Tanzania...
Back
Top Bottom