Dejan (Cyrillic: Дејан) is a Serbian masculine given name, derived from the Slavic verb dejati, meaning "to act, to do". The name and the derived surname Dejanović are common among South Slavs.
The name is first recorded in 1325 (1333) for a voevod of king Stefan Uroš.
Nilikuwa naangalia thamani ya wachezaji walio huru kwenye mtandao wa "Transfermarkt" na kukuta kuwa mchezaji wa zamani wa Simba Dejan Georgijevic kwa sasa thamani yake ni Kati ya shilingi za kitanzania milioni 700 hadi bilioni moja na milioni mia nne.
Kwanza nilishangaa imekuwaje mchezaji...
Okrah ndiyo kwa 99% alisababisha Mzungu Wetu Dejan asiwe na Furaha ndani ya Simba SC mpaka Kukereka na kufikia Kuchukua yale Maamuzi aliyoyachukua ya Kuondoka.
Okrah huyu huyu ndiyo alikuwa akimtukana Mzungu wa Watu Dejan na Kubwa zaidi akiwashawishi Wachezaji wenzake Waswahili wamtenge...
Mchezaji maarufu Mzungu wa Simba Dejan Georgijevic ametangza rasmi kutua nchini kukipiga.
Dejan hajaweka bayana kama ataendelea na Simba au atatua Yanga kuziba pengo la Faizal Fey Toto anayewaniwa na club ya Azam Fc
Simba walipoona wamepigwa walitumia mbinu za kivita kumpa 'frustrations' yule Dejan mpaka yeye mwenyewe akasepa bila kuiingiza timu gharama.
Sasa Yanga kwa kule kupigwa 500m za usajili wasikubali kuendelea kupigwa 20m za mshahara. Jamaa anarukaruka tu uwanjani. Anzeni kazi hapo angalau muokoe...
Ila siyo Siri Mo Dewji kwa sasa wala nisikufiche unazingua na unatuzingua sana tu wana Simba SC hasa kupitia hicho Kifidodido chako CEO Barbara Gonzalez.
Hivi Wewe Mo Dewji kama kweli Mzigo wa 20 Billion upo na uliuweka Simba SC ndiyo tushindwe kweli kutoa Tsh Milioni 800 kwa Victor Adebayor...
Anaandika Edo Kumwembe... ✍️
Ninachohisi ni kwamba sio kwamba huyu Mrembo na wenzake wanamtaka Dejan...nadhani wamemuweka katika mtego kwamba yeye ndiye avunje mkataba ili wasimlipe.
ndo maana wakatoa ile taarifa. Akili nzuri. Mzungu sasa avunje tu mwenyewe. Na kama ikitokea hivyo itabidi...
Inasadikika kuwa aliyekuwa mshambuliaji raia wa serbia, Dejan Georgijevic yupo mbioni kutimkia nchini misri kujiunga na klabu ya Al-ittihad iskandary (alexandria) kuungana na aliyekuwa kocha wa simba Zoran Maki.
Vyanzo vya karibu nchini Misri vimenihabarisha kuwa kocha huyo Zoran Maki...
Nipo natafakari hapa ni hasira, masimango au kuna kitu kingine hadi mchezaji pendwa Dejan kusitisha mkataba wake?
====
Mshambuliaji Dejan Georgijevic ametangaza kuvunjika kwa mkataba na Klabu ya Simba kutokana baadhi ya vipengele kukiukwa.
Dejan ameandika kwenye ukurasa wake “Nathibitisha...
Tukio lililotokea majuzi kwa mchezaji Okrah kumfanyia fujo striker mzungu, Dejan Georgindowski, linaonesha kuwa kuna mgawanyiko wa wachezaji katika dressing room na kocha Juma Mgunda hana uwezo wa kuwa manage maastaa hawa wenye majina makubwa. Kuna kundi la wachezaji linahakikisha kuwa huyu...
Anaandika Shaffi Dauda
Simba kuna vitu havipo sawa, lakini ni zile zile stori za kuvalishana suti kwenye vumbi au kuifunga Bugati injini ya bajaj ila haibadili kuwa kuna mengi hayapo sawa.
Tazama vyema hii clip, tazama namna Dejan na Okrah walivyotoshana nguvu, haya tunayaona sisi uwanjani...
Yanga sc imemtambulisha kiungo wake wa zamani, Tuisila Kisinda kuwa amerudi kikosini kabla ya dirisha la usajili kufungwa 31/08/2022.
Mashabiki wengi wa Yanga wamefurahishwa na ujio wa Tuisila Kisinda. Jambo ambalo hawalijui ni Nani kampisha Tuisila kwasababu usajili wa wachezaji kutoka nje ya...
Au naweza kusema aingie pale ambapo timu imeshapata ushindi mzuri na game ipo mkononi kwao.
Nina imani akiweza kuonesha makali yake kwenye mchezo Mashabiki hawa wa Bongo ninaowajua wanabadilika hapo hapo na kona zote za nchi wataimba jina lake kwa mema hata mwenyewe atafurahia kuwepo Tanzania...