delgado

  1. Marie Antoinette

    Ambasaderi w'u Bwongereza muri Mozambique yasuye RDF i Cabo Delgado

    Kuri uyu wa Kabiri, Umuyobozi w'Inzego z'Umutekano z'u Rwanda ziri muri Mozambique, Maj Gen Emmy K Ruvusha yakiriye Ambasaderi w'u Bwongereza muri iki gihugu, Madamu Helen Lewis n'itsinda ry'abo yari ayoboye, baganira ku kibazo cy’umutekano mu ntara ya Cabo Delgado muri Mozambique
  2. Mohamed Said

    Hamisi Delgado na Harry Belafonte

    Leo Maktaba imetembelewa na Hamisi Delgado rafiki yangu toka ujana wetu. Yeye si mgeni hapa Maktaba ingawa kaondoka hapa nyumbani miaka mingi sana. Lakini akija sharti aje kunikagua. Leo katika mazungumzo kanikumbusha Harry Belafonte na Sidney Poitier walivyokuja Dar es Salaam mwaka wa 1973...
  3. SteveMollel

    Kinachoendelea Msumbiji, magaidi na Jeshi - Part 3

    - Shambulizi la kigaidi mji wa Macomia mwezi jana. - Oparesheni ya SADC na jeshi la Rwanda. - Interest ya Kagame katika vita za wengine. Wa kwanza kufika hapa Msumbiji ni jeshi la Rwanda. Kwa makubaliano ya siri yalowekwa na raisi wa Msumbiji, Felipe Nyusi, na raisi wa Rwanda, Paul Kagame...
  4. SteveMollel

    Kibiti mpaka laana ya Cabo Delgado: Part II

    Kabla ya kuendelea, turejelee kauli aliyoitoa Colonel Lionel Dyck, mkurugenzi wa jeshi binafsi la DAG ambaye mkataba wake wa kutoa msaada wa anga pale Msumbiji ulitamatika tarehe 6, April 2021. Alipohojiwa, alisema kauli hii; "Mungu, wasaidie watu wale." Akimaanisha watu wa Msumbiji...
  5. SteveMollel

    Njia ya Kibiti kwenda kwenye laana ya Cabo Delgado

    𝐓𝐚𝐧𝐳𝐚𝐧𝐢𝐚 𝐧𝐚 𝐦𝐚𝐠𝐚𝐢𝐝𝐢 𝐲𝐚 𝐀𝐧𝐬𝐚𝐫 𝐚𝐥-𝐬𝐮𝐧𝐧𝐚. - 𝐍𝐣𝐢𝐚 𝐲𝐚 𝐊𝐢𝐛𝐢𝐭𝐢 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐝𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐥𝐚𝐚𝐧𝐚 𝐲𝐚 𝐂𝐚𝐛𝐨 𝐃𝐞𝐥𝐠𝐚𝐝𝐨. - 𝐖𝐚𝐭𝐮 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐨𝐤𝐨𝐭𝐚 𝐦𝐢𝐢𝐥𝐢 𝐧𝐚 𝐯𝐢𝐜𝐡𝐰𝐚 𝐯𝐲𝐚𝐤𝐞 𝐩𝐞𝐦𝐛𝐞𝐧𝐢. 𝐒𝐄𝐇𝐄𝐌𝐔 𝐘𝐀 𝟬𝟭: Tarehe 20 mwezi huu wa tano, waziri wa Ulinzi na jeshi la kujenga taifa, Dkt. Stergomena Tax analiambia bunge kuwa hali ya usalama katika...
  6. nyboma

    Kama majeshi ya Rwanda yaliwamaliza magaidi wa Cabo Delgado ndani ya wiki moja, hawa viongozi wetu wa ulinzi walienda kufanya nini Msumbiji?

    Hakika nimeamini vita dhidi ya ugaidi inahitaji akili kubwa mno kuliko matumizi ya nguvu, ni miezi michache tu iliyopita tulitangaziwa na kuaminishwa ya kwamba magaidi ambao walikuwa wameshikilia jimbo la Cabo delgado walipigwa na kumalizwa na jeshi kutoka rwanda. Ila hivi karibuni tena...
  7. Genecandy

    Msumbiji: Mafuta kuchotwa Baharini inawezekana vipi?

    Wakubwa salaam Kuna clip inasambaa kwa kasi kutoka Mozambique Mkoa wa cabo Delgado almaarufu kama Pemba wananchi wakichota kinachosemekana ni mafuta ukingoni mwa bahari Mi swali langu ni hii kitu inawezekana kweli? Yaani mafuta yachotwe bila kuchanganyika na maji naomba wajuzi watujuze jmn...
Back
Top Bottom