democracy

  1. R

    Wasikilize wamarekani na demokrasia

    Wanasema hatuna ahadi ya utii kwa tajiri Trump wala Elon Musk, bali Serikali ya America.
  2. Mindyou

    Ushindi wa Donald Trump una maana gani kwenye biashara za Elon Musk? Tutegemee Elon kupata kitengo kwenye serikali ya Trump?

    Wakuu, Kama unafuatilia uchaguzi unaoendelea nchini Marekani basi bila shaka utakuwa umemuona Bilionea Elon akiwa bega kwa bega na Donald ambaye amechaguliwa kuwa Rais wa 47 wa Marekani. Ikumbukwe kuwa Elon wakati wa uchaguzi ametumia akaunti yake ya X pamoja na ushawishi wake wa kifedha...
  3. Mganguzi

    Democracy ya kweli ipo ccm sio CHADEMA mtu anagombea mnamuona msaliti? Mnamshambulia na kumtusi mlitaka mgombea gani?

    Tundu Lissu ndiye katuonyesha ujinga wa CHADEMA na ujinga wa wanachama wake. Wanachadema ni manamba wa mtu, tuseme CHADEMA iliundwa kwa ajili ya Mbowe tu au watu wa kaskazini. Lakini najiuliza swali, kwa nini demokrasia CHADEMA ni ngumu sana kuipata? Badala ya kumpima kwa hoja, wao wanamuona...
  4. P

    The beauty of Democracy in Tanzania

    Habari wadau, ni matumaini yangu mko vyema kabisa, Kwa jina naitwa ProMagufuli. Napenda kuleta hoja kama kichwa kinavyosema. Kufuatia uchaguzi wa serikali za mitaa tumeweza kujionea yaliyotokea. Umefanyika uporaji mkubwa wa demokrasia. Sasa kama wanajamii forum ni nini kifanyike ili kuweza...
  5. Crocodiletooth

    Kwa nchi ambazo zilishakuwa na uhusiano wa kidugu na China, Korea na Russia, Democracy ya kweli haiwezi kuwepo

    Huo ndiyo ukweli wenyewe, hatuwezi kupractice demokrasia ya kutelewa kwa kulazimishwa, hata siku moja, Tukumbuke demokrasia hii ililetwa kwa bakora hapa barani kwetu Africa, bakora iliyotumika kwa wakati huo ni usipokubali kuipokea basi hutapata misaada popote katika nchi za kibeberu, mnyonge...
  6. Wakusoma 12

    LGE2024 Jakaya Kikwete upo unaangalia tu siasa za ovyo wanafanyiwa Watanzania kweli? Demokrasia ipo wapi?

    Mimi ni Mtanzania ila nimeumizwa sana na hiki kilichofanyika Serikali za Mitaa. Inawezekana vipi ukatumia mabilioni ya pesa kwenye taifa masikini ili tu ufanye uchaguzi wa kiini macho? Kwanini hizo pesa usiwekeze kwa hili tatizo la ajira, elimu na afya? Sisi ni wazima kweli kiakili? Jakaya...
  7. Ngaliwe

    Tanzania Under Samia Suluhu Hassan: A Leader in Democracy and Government Transparency in Africa

    Tanzania, under the leadership of President Samia Suluhu Hassan and the ruling party Chama Cha Mapinduzi (CCM), has emerged as a significant example of democratic progress and government transparency in Africa. In a continent often marked by political turbulence and governance challenges...
  8. Ngaliwe

    Uniting the Nation: How Samia's 4Rs Have Strengthened Democracy and Rule of Law in Tanzania

    In a significant demonstration of national unity and political collaboration, a recent photo capturing CCM Secretary General Ambassador Dr. Emmanuel Nchimbi conversing and sharing a moment of camaraderie with Mr. Freeman Mbowe, Chairman of the Democracy and Development Party (CHADEMA), has...
  9. Mwl.RCT

    SoC04 The Quantum Leap: Revolutionizing Tanzanian Democracy through Women's Political Empowerment

    The Quantum Leap: Revolutionizing Tanzanian Democracy through Women's Political Empowerment Tanzania faces ongoing challenges such as poverty and inequality, highlighting the need for a new approach. One significant but often overlooked factor is women's political empowerment, which is closely...
  10. B

    Gen Z gather here: Tuko wapi mbona hatuonekani? Kenya wametuonesha njia tunaweza washughulikia kigeneration yetu!

    Gen Z tupo? Tumekuwa tukisemwa sana hadi na mabroo kuwa tumelala, tupo nyuma, ninwaoga kama kunguru kukimbiza mabawa, lakini je, hilo ni kweli? Najua tuko wengi humu kwanini sasa kwanini hatushiriki kudai haki zetu? Kizazi chetu ndio kinaongoza kutumia teknolojia vizuri hata millenials...
  11. Econometrician

    Wazee wa democracy na wanazi wa USA tuambieni hapa haki ipo wapi?

    Mwezi mei,2024 UN iliendesha zoezi la kuitambua Palestine kama Taifa,nchi 144 kati 193 zilipiga kura ya kuitambua na nchi 25 zilijizuia kupiga.Maajabu ni kuwa kura za hao wote sio chochote hadi pale wale wenye kura ya VETO Russia, USA, UK,France na China ambao ni wanachama wa kudumu wa baraza la...
  12. F

    SoC04 Education

    To enhance the level of education in Tanzania over the next 5, 10, or 15 years, several strategic measures should be implemented: Investment in Infrastructure: The government and international organizations should invest in building and upgrading schools, laboratories, libraries, and other...
  13. Ashampoo burning

    Demokrasia haifai ni mfumo mufilisi kwa nchi masikini

    Jana nilikuwa nafikiria kuhusu demokrasia kama mfumo kuundia serikali nimekuja kujua hauna tija sababu zangu ni hizi 1.mwenye hela na umaarufu anaweza kuwa kiongozi Hapa ni kwamba mfumo wa democracy ulivyokaa ni kwamba anaeshinda kwa kura nyingi ndio anae kuwa kiongozi hata kama...
  14. Abdull Kazi

    Extraodinary to see world’s largest democracy excute biggest election in world: US envoy Garcetti

    Mumbai (Maharashtra) [India], May (ANI): As the Lok Sabha elections are being held in India across seven phases, the US Ambassador to India, Eric Garcetti has said that it is "extraordinary" to witness the world's largest democracy execute the biggest election in the world. As a first-time...
  15. Doctor Mama Amon

    The Tanzania Democracy Forum 2024: Towards an Inclusive, Participatory Democracy in the United Republic of Tanzania

    The Tanzania Democracy Forum 2024: Towards an Inclusive, Participatory Democracy in the United Republic of Tanzania 16 and 17th May, 2024 Golden Tulip Airport Hotel, Zanzibar Zanzibar, Tanzania The Center for Strategic Litigation (CSL), in collaboration with Waandishi wa Habari za Maendeleo...
  16. Damaso

    SoC04 Tanzania we want: Separation of Power among three pillars of Government

    Chief Justice Mustapha Siyani has withdrawn from hearing the case of economic sabotage facing the Chairman of the CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA), Hon. Freeman Mbowe and his three colleagues. Judge Eliezer Luvanda has decided to recuse himself from the economic sabotage case facing...
  17. Damaso

    SoC04 Tanzania we want: Election of Public Servants from Citizens

    In Tanzania, the President appoints many public servants. This article argues that a shift towards an elected public service is necessary for robust democracy, increased accountability, and improved service delivery. While presidential appointments offer some advantages, the benefits of a...
  18. R

    What are the Key Features of Democracy? Je, Tanzania tunazo sifa za kuitwa nchi ya kidemokrasia?

    What are the Key Features of Democracy? Democracy is the most successful political idea in the world. Democracy allows ordinary people a decisive say in who governs a country and how they govern it. It is based on a system of government by all the citizens of a country, typically exercised...
  19. Mto Songwe

    Malcolm X speech democracy is hypocrisy/Demokrasia ni unafiki

    Malcolm X anasema kuwa demokrasia ni "unafiki". Ni tofauti kabisa na inavyoandikwa na kuhubiriwa duniani. Kwa kiasi kikubwa sasa dunia inashuhudia huu unafiki uitwao demokrasia. Tumsikilize kwa makini hapa
  20. Roving Journalist

    Wiki ya AZAKI: Mabunge yetu hayajui kitu kuhusu Ulinzi wa Data

    Bodi member wa JamiiForums atashiriki mjadala wa Tech, Democracy & Decolonization: Interplay and Impact ambao unafanyika katika wiki ya Azaki, AICC Arusha. Wazungumzaji wengine ni Deogratias Bwire, Harold Sungusia (Rais wa TLS), Andrew Karamagi (MSCTDC), Aikande Clement Kwayu (Board Member JF)...
Back
Top Bottom