Wakuu,
Profesa wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Issa Shivji, amesema kuwa ripoti ya tathmini ya namna redio zilivyoripoti Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024, iliyotolewa na Shule ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma (SJMC), ilipaswa kuchambua mchakato mzima wa uchaguzi huo na...
Salaam!
Je, ni sawa kupanga kujenga mnara pasipo kukaa chini na kupiga hesabu juu ya gharama zake?
Siasa ni sayansi, je ni sawa chama Cha siasa kumpitisha mgombea asiyekubalika ,asiyekidhi matakwa ya wapiga kura?
Ni sawa kuleta mgombea asiyependwa na wananchi?
Ni sawa kupeleka n'gombe...
Wanabodi,
Ninapotafakari kwa kina mgogoro unaoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), ninakumbuka falsafa ya 4R ya Rais Samia Suluhu Hassan. Kama ingetekelezwa ipasavyo, inaonekana kuwa ingeweza kuumaliza mgogoro huu mara moja.
Swali linalojitokeza: Kwa nini wasaidizi wa Rais...
Hii ndiyo hali halisi.
Wote waliopinga uteuzi wa Magufuli kugombea Urais wa Tanzania ndiyo wanaelekea kushika hatamu ya uongozi wa nchi. Chato ijipange upya kukabiliana na ukweli uliopo na kamwe haiwezi kuwa Mkoa.
"Wachawi wote wamekwisha kufa!" Jakaya Mrisho Kikwete.
Wakuu,
Huko nchini Ghana sanamu ya kumbukumbu ya Rais wa zamani wa Ghana, Nana Akufo-Addo, iliyojengwa mwishoni mwa mwaka jana, imeangushwa.
Wakati Akufo-Addo akizindua sanamu hilo Januari (11) katika Mkoa wa Magharibi alikumbana na mapokezi mabaya sana kwenye mitandao ya kijamii, huku wengine...
Katika hatua iliyoibua gumzo nchini Burundi, washiriki watatu waandamizi wa timu ya ushauri ya Rais Evariste Ndayishimiye wamejikuta gerezani katika Gereza Kuu la Mpimba, Bujumbura, wakikabiliwa na tuhuma za uhaini.
Miongoni mwa waliotiwa mbaroni ni Baribonekeza Jean Baptiste, aliyewahi kuwa...
Takriban watu 18 wamefariki dunia katika majibizano ya risasi kati ya kikosi cha walinzi wa Rais wa Chad na kundi la watu waliokuwa wamejihami kwa silaha za moto.
Kundi la watu hao (bado halijatambulika) walikuwa wakirusha risasi kuelekea yalipo makazi ya Rais, Idriss Deby, jijini N’Djamena...
Venancio Mondlane, kiongozi wa upinzani nchini Msumbiji, amethibitisha kuwa atarejea nchini Alhamisi wiki hii, siku chache kabla ya kuapishwa kwa rais mteule, Daniel Chapo.
Mondlane, ambaye alikimbilia nje ya nchi baada ya wakili wake kuuawa kwa risasi mnamo Oktoba 19, alitoa tangazo hilo...
Hali ya mvutano inaendelea nchini Chad baada ya vyama vya upinzani kutaka kumalizika kwa haraka kwa serikali ya mpito nchini humo na kufutwa kwa uchaguzi mkuu uliofanyika Desemba 29.
Kwa mujibu wa upinzani, uchaguzi huo ulisusiwa kwa kiasi kikubwa na wananchi na hivyo haupaswi kuendelea
Tume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.