Awamu ya Tano ililaumiwa sana kuhusu kuminya Uhuru, Haki na Demokrasia. Katika kurejesha imani kuhusu "Haki", Rais wa Awamu ya Sita, Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa akikemea watendaji wa Taasisi za kusimamia haki ili kuleta ufanisi. Matokeo yake kumekuwa na mabadiliko ya viongozi kwenye Taasisi...
Zawadi hii yenye maana nzito sana amekabidhiwa Mwamba Mbowe na Wazee wa Kata ya Igombe wakati wa Kikao cha ndani cha Operesheni Haki kwa majimbo ya Nyamagana na Ilemela.
Kwa niaba yangu na familia yangu nachukua nafasi hii kuwashukuru Wazee wa Mwanza kwa zawadi hii kwa Mwamba Mbowe ikiwa ni...
Salaam Wana JF,
Siku chache zijazo Rais Wetu Mpendwa Samia Suluhu Hassan atatimiza siku 100 madarakani, Kwa takribani siku 71 sasa, ambazo ameshika hatamu kama Rais wa nchi yetu tumeweza kuona mageuzi makubwa ya kimkakati, Kisera na kimfumo kutoka kwenye falsafa za uongozi wa mwendazake JPM...
Kusema ukweli demokrasia na uhuru wa vyama vya siasa kufanya kazi zake kwa uhuru kuna raha yake.
Mama Samia rais wetu, wewe tayari ni rais huna cha kupoteza, huhitaji teuzi wala ajira yeyote. Ajira uliyonayo ni ya juu kabisa, hakuna ajira zaidi ya urais hivyo huna cha kupoteza wala kuogopa...
Ni swala la demokrasia tu.
Marais wanastaafu wakiwa bado na nguvu mfano Dr Shein na JK. Hata mh Karume,mh Sumaye na mh Pinda hata yule Vuai Nahodha wa Zanzibar bado wako fiti.
CCM ingebadili utamaduni wake ili kutoa fursa kwa wastaafu kuendelea kasaidia kukiongoza chama, hii inawezekana...
Katibu mkuu wa Chadema mh J J Mnyika amesema Bawacha haijaundwa kwa ajili ya kuchagua wanawake wa kuwapeleka bungeni kwa viti maalumu bali ni kichocheo cha demokrasia nchini.
Mnyika amesema wanawake ni jeshi kubwa hivyo wanao wajibu wa kupigania katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi.
Pia...
Nijuavyo kwa sasa Mbowe amebakia kuwa mwenyekiti wa CHADEMA tu hana vyeo vingine nje ya chama chake.
Kama ni kupoteza ubunge hata mwenyekiti wa NCCR Mageuzi mh Mbatia amepoteza, boss wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amepoteza sasa kwanini kwa Mbowe inakuwa nongwa?
Yohana nauliza kwanini Freeman...
Asalaam Aleykum Wasomaji wa JFs.
Kwanza nitoe pongezi za awali kwa Mh Samia Suluhu kwa namna alivyoanza kuongoza nchi yetu ambayo kwa namna moja ama nyingine ilikuwa unapoteza mwelekeo chini ya mtangulizi wake hayati Baba Dr John Josefu Magufuli.
Nasema pongezi za awali kwa kuwa ameonesha...
Jana nimemsikia Rais Samia Suluhu Hassan akidai kuwa ataanza kuteua nafasi za uongozi bila ya kuangalia vyama.Hilo halina ukakasi kwa mujibu wa sheria zetu ila kwangu mimi naamini kuwa hizo ni mbinu za kijanja janja za kurudisha utulivu wa kisiasa nchini baada ya ule uchafuzi wa wazi aliofanya...
Kukua kwa demokrasia katika nchi yenye mfumo wa vyama vingi kunategemea utendaji bora wa Jeshi la Polisi.
Kanuni za Kudumu za Jeshi la Polisi zimeweka bayana kuwa shughuli za kisiasa ni miongoni mwa mambo ya msingi katika jamii ya kidemokrasia.
Hata hivyo, harakati za kisiasa zisipowekewa...
1. Demokrasia ya moja kwa moja
Ni aina ya demokrasia inayotamaniwa na inayotamaniwa katika nchi zilizo na watu wengi tangu demokrasia ya moja kwa moja kawaida hutekelezwa katika nafasi na wenyeji wachacheKwa kuwa huu ni mfumo wa ushiriki wa moja kwa moja, kama jina lake linavyoonyesha, bila...
Analihutubia Bunge la Kenya litakalojumuisha Wabunge wa Mabunge yote mawili ya nchi hiyo.
=======
Rais Samia Suluhu Hassan
Nina furaha kubwa kupata nafasi ya kuhutubia kikao cha pamoja cha Bunge la Seneti na la Kitaifa Nchini Kenya - Tanzania tuna Bunge moja. Kwangu, ndio mara ya kwanza...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema hali ya Ulinzi na Usalama Nchini ni nzuri na Serikali itaendelea kushirikiana na Umoja wa Mataifa katika kulinda Usalama.
Ameeleza hayo leo Mei 05, 2021 alipokutana na kuzungumza na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Ukanda wa...
Kwa muda mrefu Chama cha Mapinduzi kimeendeleza utamaduni wake wa kuminya demokrasia ndani ya chama hicho kwa kuwanyima wanachama wake wanaotaka kugombea nafasi ya mwenyekiti wa chama Taifa na kulazimisha Rais aliyeko madarakani agombee nafasi hiyo kwa kupambana na 'kivuli'.
Mbaya zaidi wakati...
Ni kweli Nape amewahi kutoa kauli tata ktk uchaguzi wa 2015 iliyoashiria kuwa Nape si muumini wa demokrasia. Kauli ya "goli la mkono".
Pia alikuwa waziri wa habari wakati Muswada kandamizi wa kubinya Uhuru wa vyombo vya habari unapelekwa bungeni. (Lakini hapa siyo kosa lake, alitumwa na bosi...
Naomba kujenga hoja kwamba ili tuweze kujenga uhalali wa kudai demokrasia ni muhimu sisi wenyewe tuoneshe mfano wa kuwa wanademokrasia kweli. Ninatumia dhana kwamba, mara zote, utawala wa nchi ni sura halisi ya utamaduni wa wananchi wake. Kwamba viongozi/watawala wa nchi hubeba tabia/ na hulka...
Watu wasiopenda demokrasia na haki ,huwashabikia na kuwatukuza sana watu wanaokandamiza haki na demokrasia.
Kitu kimoja nataka kuwaambia watu wa aina hii ni kuwa; haki na demokrasia ndio ubinadamu wenyewe. Kwa asili binadamu aliubwa kama nafsi iliyo huru yenye utashi kamili. Ni nafsi inayojua...
Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan kujiwekea malengo ya kutwaa tuzo ya Mo Ibrahim ya utawala bora kwa kurejesha utawala bora unaojali msingi ya demokrasia.
Ameyasema hayo leo Alhamisi Aprili mosi, 2021 katika mkutano wake na waandishi wa habari jijini...
Demokrasia katika nchi nyingi za Afrika imekuwa ikilegalega kutokana na Sheria ambazo Bunge linatakiwa kumtii Rais hali inayopelekea Marais kutengua Katiba na kujiongezea muda wa kukaa madarakani.
Suala hilo la kubadilisha Katiba kwa kuondoa ukomo wa muda au umri wa Urais linafahamika kama...
Mh. Rais Samia Suluhu Hassani kwanza kabisa nakupongeza kwa Urais, pili nakupa pole kwa kufikwa na msiba mzito wa Rais JPM. Baada ya hapo naomba uhusike na kichwa cha thread. Kwenye zile nafasi zako, naomba uwateue hao ama hata Mbatia ili wakasaidie bungeni. Ni hayo tu.
NB: Mimi sio mfuasi wa...