Je, demokrasia ya Tanzania inakua au imedumaa? Ndilo swali analoliuliza mchambuzi wetu Anaclet Rwegayura katika Barua kutoka Dar.
Mikutano ya kampeni za uchaguzi inawapeleka Watanzania katika uwanja wa kufurahisha kisiasa, wakati washindani wapya wakipanda majukwaani wiki hii kujinadi kama...